#millardayo

Instagram photos and videos

#millardayo#millardayoupdates#tanzania#alikiba#0653228222#wcb#zarithebosslady#diamondplatnumz#hamisamobetto#wasafi#globalpublishers#tumewasha#wasafidotcom#chombokwahewa#wasafitv#teamzarithebosslady#teamdiamondplatnumz#kenya#instagram#music#radiostation#tvstation#muziki#cloudtv#tanzaniamusic#bongoflava

Hashtags #millardayo for Instagram

#UTAMTAMBUAJE sungura wako kama ni mgonjwa.

Tazama picha hii utajifunza. Welcome& Together Team*Changes
#matokeochanyaπŸ‡ΉπŸ‡Ώ #ufugajiwasungura #jifunzekilimonaufugaji #jifunzekilimo #changes #millardiayoupdates #millardayo #michuzijr #mumena_the_great


0

#sungura huzaa kila baada ya siku 28 au 30 ikizidi Sana 32 au 33 na kuwahi au kuchelewa kwa sungura kuzaa hutokana na afya yake au magonjwa kwa wakati huo na huzaa watoto 6 hadi 12 na zaidi ila hawezi fikisha watoto 20 au 30. #Note: kwa kipindi hiki cha ujauzito kwa sungura inapaswa umpatie vyakula vyenye virutubisho ili awe na afya njema na aweze kuzaa watoto wenye afya njema
Pia inapaswa uzingatie usafi katika mabanda yao. Je unafahamu na kama ufahamu ndio nmekujuza. Welcome& Together Team*Changes.
#millardayo #millardiayoupdates #matokeochanyaπŸ‡ΉπŸ‡Ώ #michuzijr #mumena_the_great@ally_hapi @kikwete @millardayo_fans @moodewji @jakayakikwete @masoudkipanya @alexandermnyeti19


0

#Teknolojia. Hii ni teknolojia ya kuzalisha achani ya mifugo(sungura) bila kutumia udongo. Ambapo baada ya siku saba tu unaweza kutumia majani hayo kwa kuwapatia mifugo. Na majani hayo huwa na virutubusho vya kutosha zaidi kwa mifugo. Faida za teknolojia hii ya kulisha majani.
βˆ†βˆš Ni rahisi sana na inatumia mda mchache ukilingalisha na kilimo cha kawaida βˆ†βˆš Haitumii gharama nyingi ili kuzalisha majani hayo kama gharama za kununua mbolea na dawa.
βˆ†βˆš Inaongeza kipato kwa kuweza kuuza majani yako kila baada ya siku tu ambapo majani yako yatakuwa tayari kwa matumizi.
βˆ†βˆš Haitumii kemikali nyingi.
βˆ†βˆš Haina madhara kwa mifugo.
βˆ†βˆš Huwafanya mifugo wako kuwa na afya njema.
Ni baadhi tu ya faida za sayansi hii ya uzalishaji wa majani bila kutumia udongo. Unafahamu hilo na kama hufahamu nimekujuza sasa. Welcome& Together Team*Changes.
#matokeochanyaπŸ‡ΉπŸ‡Ώ ya #millardayo @mumena_the_great t#michuziblogupdates #michuzijr #mataga #jifunzekilimonaufugaji #jifunzekilimo #ufugajiwasungura @millardayo_fans @ally_hapi #rabbitsofinstagram @beloved.rabbit


0

RepostBy @millardayo: "Mtu wangu wa nguvu @billnass nyota wa β€˜labda’ yuko kwenye Countdown ya #millardayo KENYA leo mchana!!!! nipate kwenye #RadioCITIZEN saa saba mpaka 10 jioni na @mzaziwillytuva #StorizaBONGO"


108

Mtu wangu wa nguvu @billnass nyota wa 'labda' yuko kwenye Countdown ya #millardayo KENYA leo mchana!!!! nipate kwenye #RadioCITIZEN saa saba mpaka 10 jioni na @mzaziwillytuva
#StorizaBONGO


0

Mtu wangu wa nguvu @billnass nyota wa β€˜labda’ yuko kwenye Countdown ya #millardayo KENYA leo mchana!!!! nipate kwenye #RadioCITIZEN saa saba mpaka 10 jioni na @mzaziwillytuva #StorizaBONGO


65

____________________________________________________________________β€”-JIPATIE IPHONE KWA BEI NAFUU KWA KUAGIZA KUTOKA ABROAD MOJA KWA MOJA NDANI YA WEEK MOJA MZIGO UNAKUFIKIAβ€”β€”β€”β€”Brandnew full boxedβ€”0753729512β€”β€”β€”iPhone6 GB16: 530000
iphone6. GB64: 620000
iphone6. GB128: 730,000
iphone6 plus GB16: 700000
iphone6 plus GB64: 740,000
iphone6 plus GB128: 850,000
iphone6s GB16: 690000
iphone6s GB64: 735,000
iphone6s GB128: 825000
iphone6s plus GB16: 850,000
iphone6s plus GB 64: 970'000. β€”β€”β€”-////β€”β€”β€”////β€”β€”β€”-////β€”β€”-offer. #############0753729512 #firewaist #iphoneography #iphonex #apple #iphone #INLOVEANDMONEYTOUR #wasafitv #komaaconcert2018mwanza #unaambiwa #millardayo #millardayoupdates #timetoparty #smartphone #hamisamobeto #ios #iphone7 #iphonex #djkhaled. #nobrainer #NoBrainer #rostam #parapanda


1

hii milion moja #simba unayoitoa kuna madada watavunjika viuono sas 😁 #jibebe on πŸ”₯πŸ”₯ !! ila #wcb raha san
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
#diamondplatnumz #wcb #wcb4lifeee #wasafi #mbosso #lavalava #india #oman #Jibebechallenge #millardayoupdates #millardayo #officialalikiba #kenya #zarithebosslady #wizkid #davido #zarimondforever #expectations #nigeria


4

πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€


17

Shati la pinki-Β  Karibu mjini kijana, mzee kanambia mengi, vipi nyumbani hawajambo?
Β°
Kijana- ah-hawajambo
Β°
Shati la pinki- vip safari umeionaje?
Β°
Kijana- aaah, ndefu, Dar mbali, Babati mpaka huku unakaaa tu kwenye basi halafu basi lenyewe...
Β°
Mzee-Β  Bovu, tumefika pale Dumila basi limeharibika, eh eh tuka kaaa weee, wewe (akimwangalia kijana) sikama lisaa
Β°
Kijana-Β  ka dakika 40 ivii
Β°
Mzee-Β  eeeeh yani wamenikeraa, ila tunamshukuru Mungu tumefika salama.
Β°
Shati la pinki- (akishusha pumzi) ndo mabasi yetu, karibuni sana, tunaenda kupanda lile daraja hehe tukapande mwendokasi. ***
***
***
***
#journalist#journalism#storyinpictures#photojournalist#photojournalism#bbcafrica#bbcswahili#dwswahili#dirayadunia#cnnafrica#azamtv @bbcswahili @bbcafrica @dw_kiswahili @millardayo @cnnafrica @salim_kikeke #humanitarianphotography#humanitarian#createstories#millardayo#ubungobusterminal#photowithstor#daressalaam#mydaressalaam#daressalaamπŸ‡ΉπŸ‡Ώ#daressalaamcity


0

Mweyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Dr J Magufuli akiongoza Kikao Cha Kamati Kuu
Leo Ofisi Ndogo Lumumba
*
*
*
*
#ccmmpyatanzaniampya #mumena_the_great #millardayo #millardayoupdates # #tukutanekazini #hapakazitu


0

Mwenyezi mungu akupe maisha marefu my Boss Millardayo, Mungu ibariki (Ayo TV, TZA Media Group)
#millardayo.com


0

Asubuhi ni muda wa kuwajibika. Muwe na majukumu mema. MPE neno moja huyu mtu ambaye asubuhi hii ameamkia pombe
#shilawadu #millardayo #millardayoupdates #ulevi #pombe #mabadiliko #cloudsmediagroup #cloudsmedia #asubuhi #wakeup #instagram #maendeleo #watapatatabusana


0

Waswahili hua wanasema mdomo huumba, nimeamini wallah, tuwe makini Sana na maneno tunayojiongelea au kuwaongelea wengine. ☠️

The universe is ready any time to receive and send back any signal, energy or vibration we release, be extra careful

#diamondplatnumz #zarithebosslady #zarithebossladysnapchat #hamisamobetto #teamhamisamobetto #princenillan #princesstiffah #deedylan #wasafitv #wasafidiehardfans #wcbwasafi #wcbwasafidiehardfans #millardayo #millardayoupdates #bongofive #bongofleva #mamamobetto #mamadangote


6

Boss mwenye roho ya kipekee asiye na makuu hapendi kuitwa boss mwwnye huruma na wafanyakazi wake nakuombea kwa Mungu akubariki uwe na moyo huohuo wa upole na unyenyekevu
#millardayo
#millardayo
#tza
#ayotv
#ayotv_magazeti
#ayotvupdates
#ayotventertainment
#ayotvyoutube
#ayotv_magazeti_live
#ayotv4life


1

Chemsha Bongo ya Leo #august13 #2018 Fungua Akili yako hapaa kutoa jibu sahihi!!. #mumena_the_great #millardayoupdates #millardayo #chemshabongo @djaroarungu


15

Petroleum Jelly (cocoa butter) Pure 100%
From USA

10,000/- Tzsh
5/- US dollar

#bongo #bongo_music #world14 #millardayo #jamiiforums #bongomovie #erickshigongo #darlinginthefranxx #chimtrim #sherehekea


0

Wanawake unganeni kujikwamua kiuchumi sio kupigana majungu hayasaidii kitu, lengo la Kila mmoja wetu ni kufanikiwa kwanini basi wale waliofanikiwa tusiwaangalie kwa jicho la kujifunza na kua na malengo ya kufikia pale walipo wao au ikiwezekana hata kuwazidi na kufikia malengo makubwa zaidi yao.
βœ“Lengo letu moja
βœ“Njia ndo zinatofautiana
βœ“Matokeo yanaweza kua sawa au yakazidiana
βœ“tufanye kazi kwa malengo na bidii
βœ“let us conquer the world with massive success.
#faizaally_ #zarithebosslady #hamisamobetto #teamzarithebosslady #diamondplatnumz #princesstiffah #princenillan #deedylan #teamhamisamobetto #wasafidotcom #wasafitv #masanjatv #globalpublishers #millardayo #wcb4life #wcb #wcbdiehardfans #wasafidiehardfans #bongofive #tanzanianwedding #tanzania #kenya #uganda #eastafrica


1

@mishakdayo_ Ndio dawa yake hio MTAG mlalaji πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€


88