#@kitimlaofficial

Lengo alisafishi njia na sio kila kinacho pangwa kitakua.😀😀😀😀nimekuelewa@gabozigamba
Inawezekana anacho panga wanadamu sio alicho panga mungu.#OFFICIALKITIMLA


2

Staff


2

Ivi? Iliwezekena vip kuzuia fujo za mauwaji kibiti tena hadi kuwakamata na waliojalibu kukimbia waka uwawa; na inashindikana vip kuwatafuta awa watu ambao wanateka watu na kujalibu kuuwa? #WATUWASIOJULIKANA Aiwezekani kukamatwa?
AYA NI MASWALI AMBAYO UA NAJIULIZAGA NA SIPATAGI MAJIBU YAKE.


1

#gabozigagamba binafsi nilicho gundua sio kua filamu za bongo zimeshuka thamani ila ninacho amini ni kua filamu za wasanii wa bongo movie ndizo zilizo shuka thamani kutokana na tabia zao za kujifanya wao ndo kila ki2 kwenye tasnia ya filamu tanzania.Tanzania kuna wasanii wengi wa filamu so sio lazima kila msanii wa filamu awe bongo movie.Maana ili neno la bongo movie ni tasisi ya wa2 binafsi.#GABOZIGAMBA ni msanii wa filamu za kitanzania na sio wa bongo movie.BINAFSI NAKUELEWA BRO


3

#kingkiba


0

Maumivu@officialalikiba usipo msikiliza kiba seemu ya utulivu ka2 utomuelewa_alikiba mimi ni shabiki wako wa audio na sio video


0

Familia


0

#SEDUCEME 💥💥💥


0

#🐘


0

#SEDUCEME


0


1

Team barca*teamkiba*teammsimbazi*
#kipusa


0