RASI FM RADIO 103.7 , DODOMA@rasifmtz

RASI FM RADIO 103.7 Official Instagram Account
" The Best Capital City Fm Station "
Dodoma , Tanzania

216 posts 300 followers 2 following

RASI FM RADIO 103.7 , DODOMA

Mungu Ni mwema


6

RASI FM RADIO 103.7 , DODOMA

@rasifmtz - PUMZIKA KWA AMANI NDUGU RUGE MUTAHABA


0

RASI FM RADIO 103.7 , DODOMA

Juma Jux International Right now #incaseyoudidntknow


23

RASI FM RADIO 103.7 , DODOMA

TUMEUNGANA WOTE KUWA FAMILIA BILA KUSAHAU KATIKA UMUHIMU WAKO #2019sikuyakonijukumuletu #rasifmdodoma #rasifmtz #respecttheog -
-
@rasifmtz INAWATAKIAA WASIKILZAJI WAKE WOTE HERI YA XMASS NA MWAKA MPYAA


49

RASI FM RADIO 103.7 , DODOMA

Jeshi la wananchi limesema liko tayari kutumia Meli yake yenye uwezo wa kubeba tani mia tano kusafirisha korosho kwenda jijini Dar-es-salaam baada ya Maghala yaliyopo Mtwara kujaa #Rasifmhabari


0

RASI FM RADIO 103.7 , DODOMA

Haya ndio maagizo aliyo yatoa Waziri wa Nishati Dkt. Medadi Kalemani juu ya TANESCO


0

RASI FM RADIO 103.7 , DODOMA

Magazeti ya leo Jumamosi Tarehe 15 December 2018


0

RASI FM RADIO 103.7 , DODOMA

Taarifa kubwa wiki inatoka Ikulu ambapo mambo makubwa mawili (2) yamefanyika ndani ya wiki hii 1. Utolewaji wa vitambulisho kwa wafanyabiashara
2. Utiaji saini wa mradi wa Stigler's Gorge,, Taarifa hiyo na nyingine nyingi zilizo jiri wiki nzima utazisikia ndani ya WEEKEND EDDITION YA RASI FM (103.7) Kuanzia saa 12:30 - 03:00 asubuhi ukiwa na mtu makini @mickidadishabani karibu sana


0

RASI FM RADIO 103.7 , DODOMA

Nimekusogezea taarifa zilizo chomoza katika magazeti ya leo Alhamisi Tarehe 13 December 2018,, Taarifa gani uliyo vutiwa nayo katika magazeti ya leo??


1

RASI FM RADIO 103.7 , DODOMA

Mahakama kuu kitengo cha Uhujumu uchumi (mahakama ya ufisadi) Imemuhukumu kifungo cha maisha jela Raia wa Ethiopia Anna Moises Chissano Baada ya kutiwa hatiani kwa kukutwa na Dawa za kulevya aina ya cocaine Kg 3.03,,, Hukumu hiyo imetolewa na Jaji Lilian Mashaka


1