Vodacom Tanzania@vodacomtanzania

Tusherehekee #Miaka10YaMafanikio tukiwa na #MPesa. #KweliPesaNiMpesa #mtandaosupa

vodacom.co.tz/

5,394 posts 235,533 followers 2,265 following

Vodacom Tanzania

Mwanamitindo Lilian Masuka, mteja wetu mkubwa wa huduma ya M-Pesa Mastercard akielezea jinsi huduma hii inavyotatua changamoto zake za kufanya malipo mtandaoni.

#MpesaMastercard #DigitalPayments #KweliPesaniMpesa


26

Vodacom Tanzania

Baki Mule Mule utuzwe na Tuzo Points, zenye thamani mpaka ya Bilioni 1 kutolewa msimu huu wa kutuzwa ongeza muda wa maongezi na fanya miamala ya M-Pesa kote kote msimu huu kwa kupiga *150*00# au pakua M-Pesa App.


16

Vodacom Tanzania

Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Vodacom Tanzania PLC, Hisham Hendi (katikati) akiongea na waandishi wa Habari (hawapo pichani) jijini Dar es Salaam juu ya kuwatunuku watumiaji wa mtandao wa Vodacom, points za Tuzo zenye thamani ya shilingi bilioni 1 katika kipindi hiki cha msimu wa sikukuu Krisimasi na Mwaka Mpya” yenye kauli mbiu Nabaki mulemule na Vodacom “Kushoto ni Mkurugenzi wa Uhusiano na Mawasiliano wa Kampuni hiyo Rossalyn Mworia na Kaimu Mkurugenzi wa biashara Linda Riwa .


122

Vodacom Tanzania

Sasa hakuna sababu ya kununua laini nyingine unaposafiri nje ya Tanzania. Pata vifurushi nafuu vya kuzuru kutoka Vodacom leo. Piga *149*01# chagua Kimataifa + Kuzuru kisha chagua kifurushi ukipendacho.


38

Vodacom Tanzania

Endelea kuongeza muda wa maongezi na fanya miamala ya M-Pesa kote kote msimu huu ujipatie Tuzo Points zote zote. Piga *150*00# au pakua M-Pesa App. #BakiMuleMule #Tuzopoints


49

Vodacom Tanzania

Hongera kwa kufikisha Miaka 57 ya uhuru Tanzania.


89

Vodacom Tanzania

Ni mama, mjasiriamali na mteja wetu wa kudumu wa mtandao supa pekee Tanzania akishiriki nasi jinsi huduma ya M-Pesa Mastercard ilivyosaidia kutatua changamoto za kufanya malipo mtandaoni na kukuza biashara yake.

#MpesaMastercard #DigitalPayments #KweliPesaniMpesa


30

Vodacom Tanzania

Chabo zinaishia mwisho wa mwezi .Jipatie simu nyingine ya bureunaponunua Tecno FAYA mpya
mwisho wa mwezi huu. Wahi katikamaduka yafuatayo Vodacom ufurahie ofa hii.#Chabozanini

Vodacom HQ
Vodacom Samora
Vodacom Mlimani City
Vodacom Sokoine (Arusha)
Vodacom Mbeya (Lupaway)
Vodacom Mwanza PPF


80

Vodacom Tanzania

Msimu huu wa sikukuu , Vodacom inakuletea mzigo mpya wa Camon 11 na hatujaishia hapo ukirudisha Camon X yako tunakupa punguzo la kufa mtu na GB kibao kwa miezi mitatu. Uko tayari ? #Sioyakawaida


178